Mambo vipi vijana wenzangu, mimi naitwa kenneth, nipo naishi Dar, niko kwenye arakati ya kutafuta maisha na wakupanga nae mipango ya kimaisha hivyo natafuta MCHUMBA WA MUDA MREFU NA AJE KUA MKE, Mungu akipenda, size ya mtu sichagui, lakini ukiniuliza mimi napenda watu gani ntakwambia SIJAUMBA NA WALA SIWEZ KUCHORA HIVYO SIBAGUI
Tuwasilina kwa namba hii +255 (0) 0738 89 35 85, baadae ntatoa namba ya watsapp na huyo mtu
No comments:
Post a Comment